4,000 Tsh.

Bei

NAJUA WA KUMPA ni riwaya ambayo inauweka wazi udhalimu ambao mtoto wa kike hukumbana nao ndani ya jamii nyingi za Kiafrika. Msichana Semeni anapambana kuupinga mfumo huo kandamizi kwa kumpinga baba yake ambaye anataka bintiye aolewe kwa nguvu na mtoto wa rafiki yake ili kuulinda uhusiano unaohusu biashara haramu.??Je, Semeni akiwa msichana ambaye jamii inamhisi kuwa dhaifu atafanikiwa kumshinda nia baba yake ambaye ana uchu wa mali kwa kumtumia mwanaye kama chambo???TATU KIONDO ni mwandishi na mtunzi chipukizi wa riwaya za kiswahili, anao weledi na upeo pia juhudi za kutosha kuifanya kalamu yake kuisemea jamii nzima inayomzunguka. Ni mwandishi ambaye kazi zake zina?ujazo wa maarifa na lugha ya kuvutia. ?Riwaya hii ni sahihi kwako kuisoma ili ujue ukweli wa mambo yaliyomo ndani.

Sample Read

RIWAYA NYENGINE ZA MWANDISHI TATU KIONDO